saum

بسم الله الرحمن الرحيم Maana ya saum Saumu katika lugha ni kujizuia,Ama Saumu kwa upande wa sheria ni kumuabudu Allah kwa kujizuia na kula na kunywa na vyenye kufuturisha, kutoka alfajiri ya kweli hadi kuzama kwa jua. NGUZO ZA SAUMU 1.Kunuia 2.Kujizuia na vyenye kufunguza . VIGAWANYO VYA NIA KWENYE …

Read More »

Chanel ya ilimu

Kuna ufupisho wa vitabu vyenye faida vya tawheed na fiqh ya ibada zaidi ya lugha sitini na mbiliShirikiana nasi na watumie wengine huenda mtu akafaidika na kuongoka kupitia kwako. alsarhaan.com

Read More »